Wadau nimeagiza Subaru Impreza Hatchback 1.5L 2007 with 79000KM. Kuna Uzi niliousoma humu JF kwamba unapoagiza gari wakati wa pre inspection inakuwa inafanyiwa kabisa na service huko hivyo ukija hakuna haja ya service ni moja kwa moja kuingia barabarani. Je, ni sahihi?so sihitaji kabisa kumwaga oil wala kubadilisha filter ama kufanya general check up?? Nasubiri maoni yenu.
[/QUOTp

Kaka Pre inspection wanayoifanya ni kuangalia hasa vile vitu ambavyo vinaweza kuifelisha gari kwenye mamlaka husika isiwe eligible kuingia barabaran, mfano brake system, na aina ya mambo kama hayo swala la oil sidhani kama wanabadili maana halihusian na ubora wa gari.
ili uwe na records sahihi ni bora ikishaingia ipeleke wewe garage unayoiamini wakaifanyie check up upya ikiwemo kubadili oil na any recommended part, ushauri wangu kwa service ya kwanza we jilipue uweke kila kitu kinachotakiwa, usiamini sana pre inspection certificate wanafanya kwa ajili ya kupata certificate tu.
NB: mi service ya kwanza gari ilipofika nilibadili oil nikaweza recommended na nilibadili shock up za mbele ( moja ilikuwa imeanza kuchoka) niliweka new brand ila ningejua ningeweka used, maana ubora ule ule tu na kwa nusu bei.
mabush nilianza kutabadili after 2 years