Hizi gari zikichoka kidogo rangi ya Bonet inapauka, nimeona nyingi ziko hivyo sijui ni kwa nn?
Sista anataka subaru ya nini? Hapo achukue voltz...Sister anataka kuchukua usafiri, kaniomba ushauri achugue gari ipi kwa vigezo vya muonekano, ulaji wa mafuta na comfortability. Binafsi huwa napenda sana muonekano wa haya magari mawili ingawa siyajui undani wake kwakuwa sijawahi kuyatumia. Ni lipi zuri zaidi hapo hasa kwa mwanamke (mdada)?
NB: Naomba na makadilio ya bei
Sent using Jamii Forums mobile app
Sister anataka kuchukua usafiri, kaniomba ushauri achugue gari ipi kwa vigezo vya muonekano, ulaji wa mafuta na comfortability. Binafsi huwa napenda sana muonekano wa haya magari mawili ingawa siyajui undani wake kwakuwa sijawahi kuyatumia. Ni lipi zuri zaidi hapo hasa kwa mwanamke (mdada)?
NB: Naomba na makadilio ya bei
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1]Sista anataka subaru ya nini? Hapo achukue voltz...
Kama ni tomboy achukue imprezza...
Na mimi ntakwambia nimeona kibao ziko fresh mpaka mwisho. Inategemeana na babati yako kama umezoea kukutana na vitu vibovu [emoji3][emoji3][emoji3]Hizi gari zikichoka kidogo rangi ya Bonet inapauka, nimeona nyingi ziko hivyo sijui ni kwa nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda anamaanisha Subaru nyingine, ila hii mbona tamu tu hata kwa wadada