Subaru Imprezza vs Toyota Voltz achukue lipi?

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,857
Reaction score
15,866
Sister anataka kuchukua usafiri, kaniomba ushauri achugue gari ipi kwa vigezo vya muonekano, ulaji wa mafuta na comfortability. Binafsi huwa napenda sana muonekano wa haya magari mawili ingawa siyajui undani wake kwakuwa sijawahi kuyatumia. Ni lipi zuri zaidi hapo hasa kwa mwanamke (mdada)?

NB: Naomba na makadilio ya bei

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sista anataka subaru ya nini? Hapo achukue voltz...
Kama ni tomboy achukue imprezza...
 
Sister anataka kuchukua usafiri, kaniomba ushauri achugue gari ipi kwa vigezo vya muonekano, ulaji wa mafuta na comfortability. Binafsi huwa napenda sana muonekano wa haya magari mawili ingawa siyajui undani wake kwakuwa sijawahi kuyatumia. Ni lipi zuri zaidi hapo hasa kwa mwanamke (mdada)?

NB: Naomba na makadilio ya bei

Sent using Jamii Forums mobile app

Muonekano: Hili ni suala la mtu binafsi ila mimi ningechagua Impreza
Ulaji wa mafuta: Hapa hutaona tofauti yoyote kubwa
Comfortability: zinakaribiana ila Subaru ina ground clearance ndogo zaidi ya Voltz. Kwa hiyo kwenye lami na stability iko vizuri zaidi ila utapata shida kwenye njia zenye mashimo makubwa

Chaguo ni lake. Kama ni mtu wa kwenye barabara nzuri achukue Impreza, kama barabara siyo rafiki aende na voltz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sister achukue hii!
_20200410_065306.JPG
 
Back
Top Bottom