AsanteIn addition Subaru Impreza wana 2WD na AWD, akichukua AWD inapiga wese balaa japo zote CC zinaendana. Kwahiyo kama ni kwaajili ya misele ya maeneo yenye barabara nzuri badi achukue yenye two wheels drive mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Lina chura?Sister achukue hii!View attachment 1457360
Mil 15 hawezi kupata? Na je spea hazisumbui, maana nimesikia production yake ilisitishwa kitamboNinatumia Voltz. Ni gari nzur sana zina cc 1780
Ipo juu kdgo tofaut na Impreza so kweny barabara zetu hizii itafaa sana
Nina shauri achukue Voltz ila kwenye Bei nafikir ipo juu kidgo tofaut na Impreza
Kwa milion 15 anapata Voltz moja tam sana.Mil 15 hawezi kupata? Na je spea hazisumbui, maana nimesikia production yake ilisitishwa kitambo
Labda anamaanisha Subaru nyingine, ila hii mbona tamu tu hata kwa wadadaView attachment 1457472View attachment 1457473View attachment 1457474
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika utumiaji wako hujawahi kuhitaji spea zikakusumbua?Kwa milion 15 anapata Voltz moja tam sana.
Ni kweli niliskia kua production yake ilisitishwa ndo maana voltz hazipo kwa wingi kama magar mengine jamii ya toyota
Lakini kuhusu Spea zake sina uzoefu sana kwa maana mimi co fundi ila nafikiri kwakua hizi gari ni Toyota basi Spea zake haziwezi kusumbua kwakua Spea za toyota zinapatikana kwa urahisi
hii ni ngumu na imara pili ipo juu , ina nafasiKatika utumiaji wako hujawahi kuhitaji spea zikakusumbua?
Sister anataka kuchukua usafiri, kaniomba ushauri achugue gari ipi kwa vigezo vya muonekano, ulaji wa mafuta na comfortability. Binafsi huwa napenda sana muonekano wa haya magari mawili ingawa siyajui undani wake kwakuwa sijawahi kuyatumia. Ni lipi zuri zaidi hapo hasa kwa mwanamke (mdada)?
NB: Naomba na makadilio ya bei
Sent using Jamii Forums mobile app