Subaru Imprezza vs Toyota Voltz achukue lipi?

Subaru Imprezza vs Toyota Voltz achukue lipi?

Ninatumia Voltz. Ni gari nzur sana zina cc 1780
Ipo juu kdgo tofaut na Impreza so kweny barabara zetu hizii itafaa sana
Nina shauri achukue Voltz ila kwenye Bei nafikir ipo juu kidgo tofaut na Impreza
 
Ninatumia Voltz. Ni gari nzur sana zina cc 1780
Ipo juu kdgo tofaut na Impreza so kweny barabara zetu hizii itafaa sana
Nina shauri achukue Voltz ila kwenye Bei nafikir ipo juu kidgo tofaut na Impreza
Mil 15 hawezi kupata? Na je spea hazisumbui, maana nimesikia production yake ilisitishwa kitambo
 
Mil 15 hawezi kupata? Na je spea hazisumbui, maana nimesikia production yake ilisitishwa kitambo
Kwa milion 15 anapata Voltz moja tam sana.
Ni kweli niliskia kua production yake ilisitishwa ndo maana voltz hazipo kwa wingi kama magar mengine jamii ya toyota
Lakini kuhusu Spea zake sina uzoefu sana kwa maana mimi co fundi ila nafikiri kwakua hizi gari ni Toyota basi Spea zake haziwezi kusumbua kwakua Spea za toyota zinapatikana kwa urahisi
 
Katika utumiaji wako hujawahi kuhitaji spea zikakusumbua?
 
Katika utumiaji wako hujawahi kuhitaji spea zikakusumbua?
hii ni ngumu na imara pili ipo juu , ina nafasi
kiufupi ni gari iko presantable & ina mudu hali ngumu kuliko subaru

kwenye upande wa spare haitofautiani sana na subaru nilinunua mwaka 2017 mpaka leo kikubwa nilichobadilisha ni shockups tu na matairi

Subaru inaishinda acceleration tu
 
Sister anataka kuchukua usafiri, kaniomba ushauri achugue gari ipi kwa vigezo vya muonekano, ulaji wa mafuta na comfortability. Binafsi huwa napenda sana muonekano wa haya magari mawili ingawa siyajui undani wake kwakuwa sijawahi kuyatumia. Ni lipi zuri zaidi hapo hasa kwa mwanamke (mdada)?

NB: Naomba na makadilio ya bei

Sent using Jamii Forums mobile app

Mshauri achukue toyota VOLTZ yenye 2WD ata enjoy sana coz ulaji wa mafuta ni kawaida sana na pia ina nafasi ya kutosha spear hazisumbua zipo nyingi tu na pia spare zake nyingi zinaingiliana na rav4 kili time.Cha msingi asipeleke kwa mafundi wa vichochoroni watamuwekea oil za ajabu aone gari haifai
 
Back
Top Bottom