ndalibanyo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 415
- 400
Habari zenu humu ndani! Ninampango was kuagiza toyota premio ya 2003 ZZT 240. Ila kuna hii gari SUBARU IMPREZA ya 2008, cc 1490 . naona inanunuliwa sana kwa sasa hapa kwetu tanzania kiukweli nami naipenda lakini sina uelewa sana juu ya hii gari, mnaoifahamu tafadhalini tujuzane juu ya spare parts na gharama zake, bila kusahau ulaji wa mafuta. Tafadhali nawasilisha.