Subaru Legacy B4 vs Audi A4

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,527
Reaction score
3,811
Habari wakuu,

Humu ndani kuna wajuzi wengi wa magari hivyo naamini mtatoa ufafanuzi wa kina kuhusu haya magari ya aina mbili.

1. Nahitaji kufahamu stability nacomfortability ya Subaru Legacy B4 na Audi A4.

2. Kuhusu matumizi ya mafuta, gari ipi hapo inatumia mafuta kidogo?

3. Gari ipi hapo service yake si gharama sana?

4. Gari ipi spare zake zinapatikana kwa urahisi zaidi?

5. Gari ipi spare zake ni imara ambapo ukifunga ni mkataba?

6. Mwisho, gari ipi hapo si ndoa ya kikristo? kiasi kwamba nikitaka kuuza naweza kuuza kwa urahisi

Karibuni wakuu
 
Weka picha ya hayo Magari mkuu!wengine bado tunamiliki baiskeli ila tuna ndoto ya kuwa na magari baadae
 
Chukua kama hii, ya 2007
Audi A4 ya 2005 kuna rafiki ang anayo, haina space ya kutosha ndan, otherwise we ni kamtu kadogo

 
Too general. Mfano A4 engine ipi? 2.0/2.4/3.0 au 1.8T au 2.0Tdi/2.7Tdi
 
Too general. Mfano A4 engine ipi? 2.0/2.4/3.0 au 1.8T au 2.0Tdi/2.7Tdi
Si mtaalam sana wa magari kiasi cha kujua hayo uliyoyasema, nadhani kwa uzoefu wako unaweza kusema ukichukua A4 yenye engine hii ni nzuri au haiwezi kushindana na B4 ya engine hii. Msaada mkuu
 
go for Audi, nliwahi kuwa nayo huo A4( wagon ), litre 1 km 16 highway, town si chini ya 12
 
Bado naendelea kupokea maoni yenu wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…