BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Habari wakuu,
Humu ndani kuna wajuzi wengi wa magari hivyo naamini mtatoa ufafanuzi wa kina kuhusu haya magari ya aina mbili.
1. Nahitaji kufahamu stability nacomfortability ya Subaru Legacy B4 na Audi A4.
2. Kuhusu matumizi ya mafuta, gari ipi hapo inatumia mafuta kidogo?
3. Gari ipi hapo service yake si gharama sana?
4. Gari ipi spare zake zinapatikana kwa urahisi zaidi?
5. Gari ipi spare zake ni imara ambapo ukifunga ni mkataba?
6. Mwisho, gari ipi hapo si ndoa ya kikristo? kiasi kwamba nikitaka kuuza naweza kuuza kwa urahisi
Karibuni wakuu