Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nineweka full tank lita 65 ajabu nimetembea km 350 mafuta kwishney leo nimejaza tena
Mkuu hiyo gari ina high perfomance engine 2000cc.
Watu wengi wana iconfuse na kufikiri ni sawa na Corolla!
Hii gari ni kiboko, ina perfomance bora kuliko Chaser au gari inayolingana na Chaser.
Ukitaka kuijua Subaru piga long trip kama Mbeya au Arusha ndo uyaiheshimu.
Its a leader in its class.
Hivi hamna fundi anayerekebisha ulaji mafuta hili ni janga
Fundi yupo, anaitwa ''kufanya kazi kwa bidiii'
Kama ameshindwa ulaji wa mafuta wa subaru, badala ya kulalamika auze anunue bajajiMwenzio analia na mafuta eti