GE2025 Subira Mgalu atoa Gari jipya UWT Bagamoyo kwa ajili ya kuimarisha shughuli za Chama

GE2025 Subira Mgalu atoa Gari jipya UWT Bagamoyo kwa ajili ya kuimarisha shughuli za Chama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
1751261784980.png
Katika kuimarisha Chama pamoja kurahisisha utendaji wa shughuli za chama, Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Pwani Mhe Subira Mgalu amewezesha Jumuiya ya Wanawake UWT wilaya ya Bagamoyo Gari mpya aina ya Noah.

1751260782282.png
Gari hiyo imekabidhiwa na Mwenyekiti wa UWT na Mjumbe wa Kamati kuu Taifa Mary Chatanda akiwa kwenye muendelezo wa Ziara ya kutembelea miradi mbalimbali pamoja na kuzungumza na Wananchi kueleza Mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita pamoja na kutoa elimu ya yaliyomo kwenye Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2025 - 2030 akiwa sambamba na makamu Mwenyekiti bi Zainab Shomary.

1751261431657.png
 
Khaaaa Rushwa kaziniii why atoe sasa? JK anaharibu sana mambo ndani nchi...hii eti nimesikia anamtaka Subira awe Mbunge wa Bagamoyo.....baada kupiga viti maalum Kibaha miaka tele leo analazimisha awe Mbunge Bagamoyo.....yana mwisho hayaa
 
Naona tafasiri ya rushwa Tanzania imebadilika
Hii ni rushwa ambayo hata aliyepofuka anaiona bila shida.
Tunaendelea kutengeneza taifa la hovyo kupindukia kwa kufumbia macho haya maovu ya baba la uovu CCM.
 
Back
Top Bottom