MR MLAWA
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 304
- 507
Habar wana jamii, leo nimeona nizungumzie jambo moja ambalo mara nyingi hutokea baina ya mteja na mtoa huduma.
Mara nyingi tunapenda kua na haraka pindi tunapohitaji huduma tuchukulie kama umeenda dukani au umeenda kufanya huduma za kifedha kwa wakala unapoenda unamkuta kuna mteja anahudumiwa either mmoja au watatu lakini unapofika wewe unataka kua wa kwanza uhudumiwe.
Hii haiko sawa kabisa kwanini tusiwe na utaratibu kama ilivyo bank? Mbona kule unaweza ukavumilia hata masaa 2 kukaa foleni ili uhudumiwe lakini kuvumilia kufanya huduma ukiwa mtaani unaona uzito.
Licha ya hilo bado unakuta huna uungwana na kuongea maneno mabaya na kumdharau mtoa huduma hajui au yuko polepole au kivyovyote vile. Hivi unashindwa kufikiria mpaka yeye yupo pale hata kama kawekwa lkn si yupo kwa huduma? Tuwe na uungwana tunapohitaji Mahitaji.