Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mimi nimependa wewe ulivyotumia kiswahili fasaha kwa kuweka misamiati mahala panapostahili.Hivi kuna wapenzi wengine wa Nyota Ndogo humu jamvini?
Nampenda sana huyu mdada kutoka Mvita.
Nampenda kuhusu mengi [ila msiniulize mengi yepi...jiongezeni wenyewe].
Anaonekana ni mdada maridhia kabisa na ikitokea bahati ya kukutana naye basi kwangu litakuwa ni jambo la adhama kubwa.
Huu wimbo wake mpya nimetokea kuupenda sana.
Nimeupa nyota sita kati ya tano.
Pia ujumbe wake ni murua kabisa. Unafaa kwenye miktadha mbalimbali ya mapitio ya kimaisha.
Furahia.
Nitumie whatsapp namba angu ni 0765373363
Yuko vizuri mno.Huyu dada ana kipaji kikubwa cha kuimba.
Shukran nyingi. Nakipenda sana Kiswahili ingawa mimi ni Msukuma.Mimi nimependa wewe ulivyotumia kiswahili fasaha kwa kuweka misamiati mahala panapostahili.
Nani akutumie na akutumie nini?Nitumie whatsapp namba angu ni 0765373363
Mmepewa # direct manaanza story za Adam na hawa na ku beat around ze forest, unajua ni wa ngapi wameomba wakanyimwa? Kweli penye miti hamna wajenzi.Nani akutumie na akutumie nini?