Subira yavuta heri

Subira yavuta heri

Joined
Aug 2, 2022
Posts
60
Reaction score
75
Ni kwa miaka kadhaa mchezaji wa Real Madrid Kareem Benzema amekuwa akiwapigia makofi na kuwapongeza wachezaji Lionel Mess na Cristiano Ronaldo walipokuwa wakichukua tunzo za Ballon D'or.

Lakini mwaka huu 2022 tunzo ya Ballon D'or imekwenda kwa mchezaji Kareem Benzema, na anapigiwa makofi na kupongezwa na wachezaji Cristiano Ronaldo na Lionel Mess.

Hii inatufundisha kamwe tusikate tamaa katika harakati za kutafuta, na mwenzako anapopata usiweke chuki juu yake bali mpongezee, uongezee bidii na uwe na subira kwani wakati utafika na wewe utapongezwa.

FB_IMG_16660369578734555.jpg

View attachment 2390605View attachment 2390606
 
Ronaldo alimnyima fursa walipokua wote Madrid.Benzema sio tu mchezaji pia ni mwalimu wa kuwaongoza wenzie kwenye safu ya ushambuliaji.nimefurahi sana.
 
Back
Top Bottom