Maji Baridi
Senior Member
- Dec 17, 2017
- 120
- 134
ukienda jeshini kuna kauli wanasema 'kazi za watu' kila kazi inayofanyika jeshini ni kazi ya watu, hata akija mkuu wa majeshi anasema fanyeni 'kazi za watu' hao watu wenyewe ni akina nani haijulikani hadi leo!Subiri Wahusika wanakuja mkuu
Mkuu ukiwa JF jiandae kwa lolote hata ulete mada serious kiasi gani lazima kuna watu watasema tu....Subiri wanakuja au ngoja waje au nitarudi/napita tu
Vumilia tu
ukienda jeshini kuna kauli wanasema 'kazi za watu' kila kazi inayofanyika jeshini ni kazi ya watu, hata akija mkuu wa majeshi anasema fanyeni 'kazi za watu' hao watu wenyewe ni akina nani haijulikani hadi leo!
kwa hyo mkuu na asubiri tu WAJUZI WATAKUJA