INAUZWA Subwoofer inauzwa bei nafuu

INAUZWA Subwoofer inauzwa bei nafuu

Wakuu habari za saa hizi.

Subwoofer hii inauzwa ipo katika hali nzuri tu imemaliza ni mwaka mmoja tu toka iliponunuliwa, ina Sound nzuri, Mdudo pia uko vizuri.

Bei yake ni sh 160000 Tsh za kitanzania ila Maongezi yapo, nipo napatikana Mara wilaya ya Musoma mjini.

Na Namba za simu ni No ya tigo 0674 615883 / No ya Halotel 0622 730 684 Wote mnakalibishwa.
Upo mbali sana mkuu.
 
Picha halisi
Jinsi unavyoiyona ile picha na subwoofer yangu ipo hivyo hivyo speakers nazo zipo tatu hivyo hivyo halisi nashindwa kuapload pic sababu natumia Freebasics
 
Wakuu kama mmegoma kuchukua mzigo samahani 🙏 kama kuna anaweza kunikopesha 30000 tu mi ntamrudishia kwa uaminifu tu jamani sio kwa upigaji wala sio utapeli naomba mniamini jamani sijui nisemeje dah!? Wakuu msaada kwenu mwenye no ntakutumia kama ukiniitaji kufanya hivyo🙏😞
 
Basi unitumie kwanza niutest mzigo kisha nitakutumia pesa.
Mkuu huna ndugu, jamaa, na marafiki huku niliko akautesti harafu we unatuma ye anakujurisha kila kitu harafu yeye ndo atakutumia maana dah Uaminifu ndo zero mzee
 
Wakuu kama mmegoma kuchukua mzigo samahani [emoji120] kama kuna anaweza kunikopesha 30000 tu mi ntamrudishia kwa uaminifu tu jamani sio kwa upigaji wala sio utapeli naomba mniamini jamani sijui nisemeje dah!? Wakuu msaada kwenu mwenye no ntakutumia kama ukiniitaji kufanya hivyo[emoji120][emoji20]
Kama mzigo utakuwa bado upo baada ya siku tatu ntakucheki tuyajenge, sema nipo mbali Dom

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom