INAUZWA Subwoofer inauzwa bei nafuu

Upo mbali sana mkuu.
 
Picha halisi
Jinsi unavyoiyona ile picha na subwoofer yangu ipo hivyo hivyo speakers nazo zipo tatu hivyo hivyo halisi nashindwa kuapload pic sababu natumia Freebasics
 
Wakuu kama mmegoma kuchukua mzigo samahani πŸ™ kama kuna anaweza kunikopesha 30000 tu mi ntamrudishia kwa uaminifu tu jamani sio kwa upigaji wala sio utapeli naomba mniamini jamani sijui nisemeje dah!? Wakuu msaada kwenu mwenye no ntakutumia kama ukiniitaji kufanya hivyoπŸ™πŸ˜ž
 
Basi unitumie kwanza niutest mzigo kisha nitakutumia pesa.
Mkuu huna ndugu, jamaa, na marafiki huku niliko akautesti harafu we unatuma ye anakujurisha kila kitu harafu yeye ndo atakutumia maana dah Uaminifu ndo zero mzee
 
Kama mzigo utakuwa bado upo baada ya siku tatu ntakucheki tuyajenge, sema nipo mbali Dom

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…