INAUZWA Subwoofer mpya inauzwa

INAUZWA Subwoofer mpya inauzwa

Zero Competition

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2018
Posts
347
Reaction score
553
Subwoofer mpya aina ya ALITOP inauzwa na imetumika wiki mbili tu tangu itoke dukani

Haina tatizo la aina yoyote ila nimepata dharula ndio maana nimeiweka sokoni

Subwoofer hii ni size ya kati siku kubwa sana wala sio vile vidogo hapana, ina mziki mkubwa tu na inatosha kwa matumizi ya nyumbani na hata kama una sherehe ndogo ya nyumbani pia inafaa.

Speaker zake mbili unaweza ukaziunganisha ikawa bar moja kama zile za Sound Bar

Bei ni Tshs 80,000 karibu tufanye biashara na hutojutia

Napatikana Mbezi Luis jirani kabisa na Magufuli Bus Terminal

Mawasiliano : 0767696021
 

Attachments

  • IMG_20241211_144651_034.jpg
    IMG_20241211_144651_034.jpg
    399.6 KB · Views: 7
Back
Top Bottom