Success at school vs success in life

Success at school vs success in life

Mabroo wote ambao walikuwa very smart shule full kushika unamba hakuna mwenye maisha mabovu hata mmoja wote wana mitonyo ya kuchelema, bro mmoja alikuwa best student DIT sasa HV anafanya kazi Azania bank, duuh hilo jumba alilolijenga huko mbezi kufuru, mindinga anayopush noma, kila siku anaenda Dubai first class, wana niliowaacha kitaani hali mbaya tu,
 
No retreat no surrender,
Watu wote billionaires hawajaenda shule na hawakuwa na uwezo kidarasa au walikuwa wanapoteza muda .Yes shule unapata knowledge ila inapokuja kimaisha make money tabu walio na elimu saana .yes watakuwa na phd na professors ila naongelea uwanja wa pesa na maisha inakuwa Ngumu
Toa neno "wote" hapo halafu achana na stori za kiyosaki ma tycoon wenye Phd wapo huko duniani.
 
Sasa hayo unaona ni mafanikio watu wanaongelea pesa sio hivyo vya kujikimu, huyo bado anabahatisha kipato cha kuajiliwa hakitabiriki huyo bro wako kesho akisikia Azania imefungwa nae kafa
Mabroo wote ambao walikuwa very smart shule full kushika unamba hakuna mwenye maisha mabovu hata mmoja wote wana mitonyo ya kuchelema, bro mmoja alikuwa best student DIT sasa HV anafanya kazi Azania bank, duuh hilo jumba alilolijenga huko mbezi kufuru, mindinga anayopush noma, kila siku anaenda Dubai first class, wana niliowaacha kitaani hali mbaya tu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna msemo wa kiswahili unasema, Mungu hakupi vyote...

In nature when you are left with nothing there are two things that your brain will do....

Either push you to do more and be comfortable or step back and mourn that life has never been good to you neither fair and accept that you are born to suffer...

The end result will determine ....
Na Natalia ni mmoja wao
 
Jiaminishe! Kati ya 100 unaowajua darasani walikuwa vilaza lakini maishani wametoboa kuliko wale smart darasani ni wangapi?

Usichukulie mmoja kati ya mia ukatoa takwimu! All in all Elimu ndio njia ya maana ya kutabilika kuwa uwezekano was kufanikiwa ni mkubwa ndo maana mzazi ambaye hakusoma akaja kufanikiwa atatumia nguvu muda na pesa kuhakikisha anasomesha watoto.

Hata katika jamii ukiwa umesoma alafu maisha yako hayaeleweki jamii inakushangaa. Wataulizana jamaa kasoma lakini sijui kawaje kwasababu ya maisha anayoishi.

Lakini mtu amabaye hakusoma au darasani alikuwa mjinga hata kama maisha yakimpiga jamii itasema "unaona hata darasani alikuwa kilaza au hakusoma au alikataa shule".

Kijana ondoa ujinga mubichwa lako jua kwamba dunia hii inaongozwa na wasomi!
Inawezekana Mimi sijaelewa bandiko la mtoa mada! Mimi nimeelewa kuwa anazungumzia wasomi wote ila waliokuwa vinara darasani na wale wa kawaida tu sio failure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna msemo wa kiswahili unasema, Mungu hakupi vyote...

In nature when you are left with nothing there are two things that your brain will do....

Either push you to do more and be comfortable or step back and mourn that life has never been good to you neither fair and accept that you are born to suffer...

The end result will determine ....
Umeandika ukweli mtupu Dada.yani kama Unajua huu ubongk wetu.ninaomba nije pm kukupongeza zaidi.nimetamani mpaka nikuone.huwa nakuonaga na jokes zako hapa jukwaani ila kwa hili asiyelielewa hataelewa kitu
 
Sasa hayo unaona ni mafanikio watu wanaongelea pesa sio hivyo vya kujikimu, huyo bado anabahatisha kipato cha kuajiliwa hakitabiriki huyo bro wako kesho akisikia Azania imefungwa nae kafa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumba yenye thamani zaidi ya milion200 mbezi bila kujumlisha being ya kiwanja unasema hela ya kujikimu?
 
Sasa hayo unaona ni mafanikio watu wanaongelea pesa sio hivyo vya kujikimu, huyo bado anabahatisha kipato cha kuajiliwa hakitabiriki huyo bro wako kesho akisikia Azania imefungwa nae kafa

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] You guy in slum very joker

I love that guy [emoji115][emoji115]

Unazungumzia pesa sasa nyumba ya maana mbezi imunaenda panda mbegu za kunde ndio inatokea, ku-push gari za maana unaweza push gari za maana bila pesa.

Sawa iyo pesa unayozungumzia wewe kazi yake nini.

Mkuu inachoonekana hamuelewi hoja zenu nini mada sio “kuajiriwa na kujiajiri” maana ndipo naona munapoelekea....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwa nini mara nyingi sana wale waliokuwa hawana uwezo kielimu wanafanikiwa Kimaisha na wale waliokuwa wanaakili mnoo ndio wanakazi za kielimu Lakini can’t make money .View attachment 1300042View attachment 1300043View attachment 1300044View attachment 1300045View attachment 1300046View attachment 1300047

This is biased business decision to please stupid people who are actually 85% of the population

Waandishi wa vitabu ni frauds kama frauds wengine,wanajua 85% ya watu ni wapumbavu hivyo wanajenga vitabu ku please that audience!
 
unajua mafanikio ya maisha kila mmoja ana Tafasiri yake......

Sasa kama shule ilikupita.. Unawezaje kua Daktari ???.

Je huyu Daktari yeye ajihesabu mwenye mafanikio au asokua namafanikio..?
 
Umeandika ukweli mtupu Dada.yani kama Unajua huu ubongk wetu.ninaomba nije pm kukupongeza zaidi.nimetamani mpaka nikuone.huwa nakuonaga na jokes zako hapa jukwaani ila kwa hili asiyelielewa hataelewa kitu

Asante kwa pongezi, Kwa sasa nimesafiri hadi nirudi ndo ntaweza kuingia huko PM.
 
Sehemu ambayo sielewagi ni hii pale aliejiajiri kujiona bora wakati anahitaji alieajiriwaaje anunue bidhaa zake au huduma zake...hahahaha
Tatizo watu wamekariri kuwa kujiajiri ndo kila kit ila si kweli
Inategemea

nzuri zaidi naona ni kuwa na vipato vyote
Ajira na biashara
 
Una Data au umeandika tu, list ya matajiri 100 wakubwa duniani 75% wamesoma.

Matajiri wakubwa Tz wengi wamesoma.

Wajasiliamari vijana wanaopanda kwa kasi Tz graduate.

LEVEL YA NINAPOISHI

Honestly kuna wale mabraza wa mtaa hakuna hata mmoja ambaye hata amejenga nyumba mpaka sasa na gari kwao anasa ila mabraza walosoma wanajenga mijengo na mamiliki mandinga.

KWA LEVEL YANGU

Ambao nilikuwanao sawa darasani wakaishia njiani mimi nikaendelea ndio hawana wanachomoliki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo na ujinga husipende kutetea mtizamo wako Acha kuangalia mamilionea wachache wenye elimu ya juu,Kuna matajili wengi humu nchini wenye elimu Mali wameikuta kutoka kwa BB zao,angalia watu wenye kujimuda kimaisha wakati ni wengi wenye helimu ndogo standard 7 na 0 level,njoo Kkoo wenye maduka makubwa krb wote ni standard 7 na 0 lv,njoo ubungo Yale Manus yote unayoyaona ubungo yanamilikiwa na watu wa Kati kielimu huwezi ukamkuta mwenye masters anapanda ndege anaenda Thailand na China kufuata biashara zake na ukimkuta mwenye masters kwenye Emelets air ujue katumwa na ofic sio yeye km yeye aumize bichwa ,mara nyingi wasomi hawezi kutake risk ndipo hapo wanapofeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"bs" lipo mahali pake?
Walio na fedha nyingi wengi ni wale wenye elimu ya kati au kidogo. Hawaonagi shida kujilipua ili kuitimiza ndoto yao. Msomi yeye anafuata story na mifumo ya maandiko.
Utajiri hauna fomular, wasio na elimu kubwa ndio wanaujua mfumo huo

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea mkubwa,wasomi wengi hawana nidhamu ya pesa,mfano mtu amepata mkopo kapewa oficn Jambo la Kwanza aranubua harie badara ya kuifanyia kazi,jingine mtu aliesoma commerce hawezi kujilipua wanabaki na makanuni Yao kichwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi mkuu usipeleke shule wanao ili wawe matajiri wakubwa duniani. PERIOD!
Kuwa muelewa hakumaanisha hivyo povu la Nini,ukweli wasomi wengi wa Tanzania ni wajinga wa maisha na mawazo,ndio maana hata bungeni mbunge Msukuma anauwezo wa kujenga hoja na kuisimamia japo ni standard 7 kuliko hata hao wasomi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom