Successful Galana Irrigation project trials-The end of maize import

Successful Galana Irrigation project trials-The end of maize import

Hahaha mkubwa iyo ni revolutio n punguza jazba mbaumbau
 
Much impressive jirani , I like it. Sisi Tanzania Itujikite kuzalisha mchele, ngano na mbogamboga, na ufugaji as our economies grow watu hawatakula sana sima, mahindi yatakua chakula cha mifugo.
 
Watu wamekua wakitutukana kwa kununua mahindi kutoka kwao, muda usio mrefu Wakenya watakua wanacheua kwa wingi wa lishe. Nchi ndogo, halafu sehemu kubwa ni kame lakini tutatoka tu kwa mwendo huu. Hapa kasi tu.
yatakuwa na gharama kubwa kuliko kununua kwa mjomba wako aliyekuwa anakulisha kila siku.
 
yatakuwa na gharama kubwa kuliko kununua kwa mjomba wako aliyekuwa anakulisha kila siku.
Hivi jombaa unaona ikiwa sifa kwamba mazao yenu watz mnayauza kwa bei ya kutupa?Maanake wakenya wengi wanawazingua kwa kununua mazao yenu kwa bei wanayotaka!Bei iliyo chini sana kuliko bei ya soko ifaavyo?Unaeza fikiri kuwa jambo hili litanifurahisha sana kama mkenya lakini sivyo!Kilio cha wakenya wafuga ngombe na mbuzi pale Kajiado,mpakani Namanga ni cha kutamausha.Mnawaharibia sana,sijui wakulima wa tz wanafanya ukulima kama 'hobby' tu?Wakenya wanafanya kilimo biashara aisee,very pathetic of you tznians!
 
Back
Top Bottom