Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Serikali imeamuru kufungwa kwa muda usiojulikana kwa Shule zote kutokana na joto kali ambalo linalotarajiwa kufikia hadi nyuzi joto 45 (113F) na kudumu kwa Wiki 2, huku ikionya Shule ambayo itakaidi maagizo hayo itafutiwa Usajili wake.
Sudan Kusini inapitia Vipindi virefu vya Joto wakati wa Mchana na Usiku ambapo Mamlaka za Afya na Elimu pia zilihimiza Wazazi kuzuia Watoto wao kucheza nje kwa muda mrefu.
Imeripotiwa kuwa katika Juma lililopita pekee Watoto 15 wamefariki kwa Homa ya Uti wa Mgongo na Joto Kali.
......................
South Sudan’s government has ordered an indefinite closure of all schools because of a heat wave that could see temperatures rise to as high as 45C (113F).
Health and education authorities also urged parents to stop their children from playing outdoors for prolonged periods, saying the heatwave could last for two weeks.
"There are already cases of death related to excessive heat being reported," authorities said in a statement on Saturday.
They said that the country was experiencing “extended periods of high day and night-time temperatures that create cumulative physiological stress on the human body”.
Any school found open from Monday would have its registration withdrawn, the authorities warned.
Last week, at least 15 children were reported to have died of meningitis and other heat-related illnesses, according to the health ministry.
Source: BBC