Sudan Kusini Yapiga Marufuku Matumizi Mitandao Ya Kijamii Kwa Miezi Mitatu

Sudan Kusini Yapiga Marufuku Matumizi Mitandao Ya Kijamii Kwa Miezi Mitatu

Dalton elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
373
Reaction score
829
Mamlaka ya Mawasiliano ya Sudan Kusini imepiga marufuku matumizi ya mitandao ya kijamii kwa kipindi cha miezi mitatu kuanzia Januari 22, 2025.

Katazo hilo linafuatia kusambaa kwa picha za video zinazoonesha mateso na masumbuko ya wakimbizi wa Sudan Kusini walioko katika eneo la Wad Medani, nchi jirani ya Sudan.

Kulingana na mamlaka hiyo, maudhui hayo ni ukiukwaji mkubwa wa sheria za Sudan Kusini na pia yanaweza kuhatarisha usalama wa umma.
 
Back
Top Bottom