Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Sudan mzee baba .... Uwanja wa El Marreikh....Upo nchi gani huu?
Stars kazi wanayo
Mazoezi ya jana usiku.... Kubaabaanyeee yaani hapa ndio tushinde mbili nyau....Huo uwanja nashauri uitwe tuvumiliane
Nawahurumia maumivu watayopata leo WatanzaniaSudan mzee baba .... Uwanja wa El Marreikh....
Tungewapeleka Namfua hawa...Nawahurumia maumivu watayopata leo Watanzania
Ndio tumewapeleka waarabu mwanza sasaNyie wageni wakija si mnajifanya wakarimu,tulieni dawa iwaingie.
Mkuu maumivu gani kama ulipigwa home unaweza kuwa na matumaini ugenini na straika Lyanga?Nawahurumia maumivu watayopata leo Watanzania
Ha ha haaa,Mkuu maumivu gani kama ulipigwa home unaweza kuwa na matumaini ugenini na straika Lyanga?
Ndiyo upuuzi wenyewe huo,mchezaji anaitwa kisa kuifunga Yanga na Si mwendelezo wake wa uchezajiHa ha haaa,
Kuna Chimbi aliokota embe 3 kwetu, leo atawaokoa labda
Mkuu maumivu gani kama ulipigwa home unaweza kuwa na matumaini ugenini na straika Lyanga?
Huko ndiko wangetupiga nyingi wamezoea viwanja vibovuTungewapeleka Namfua hawa...
Hi game inachezwa liniTungewapeleka Namfua hawa...