Sudan Vs Taifa Stars ...CHAN ....Uwanja utakaotumika

Sudan Vs Taifa Stars ...CHAN ....Uwanja utakaotumika

Mtoto wa nzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Posts
10,017
Reaction score
18,537
Kama thread inavyosema. Huu ndio uwanja utakaotumika kwa mtanange huo. Na CAF wameupitisha aseee Afrika hiii. Credit kwa Cloudstv mtangazaji ni Jacob Mbuya
 
Huo uwanja nashauri uitwe tuvumiliane
 
Huo uwanja nashauri uitwe tuvumiliane
Mazoezi ya jana usiku.... Kubaabaanyeee yaani hapa ndio tushinde mbili nyau....
 
Uwanja mzuri kabisa huo,hao wachezaji wetu kwani wanacheza wapi? Ukiacha Uhuru,taifa na chamazi? Waache visingizio vya kutolewa leo shenzi kabisa maana asilimia 100% wachezaji wa bongo wametokea kwenye viwanja vya minazi,michanga,vichuguu.Wacheze mpira waache visingizio
 
Tuache kulialia wachezaji wetu wanacheza ligi kwenye viwanja vibovu kuliko hicho...
 
Back
Top Bottom