Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Sio RAHISI kama unavyofikiria..!!!Ningekuwa ndio mimi ni huyo mzazi mwenza wa Irene, NINGEMUWEKA MIKONO SALAMA HUYO MMBEA SUDI BROUN.
Hapo nilipo-bold maandishi naona kama umemsaidia Soudy Brown kufikia malengo yake...Leo umemdhalilisha sana Irene Uwoya, eti Kisa mtoto wake hafanani na baba yake.
YOU HEAD!!!!! Hahahaaa jamaa shushushu kinyamaSudi Brown, umbea unaoufanya kamwe usidhani unakujengea heshima. Unavyowaumbua watu kwa kuingilia mambo yao ya ndani usidhani ni jambo jema.
Time will come, utazaa, watoto wako sijui watakuwa wakijisikiaje kuambiwa kuwa baba yenu ndiye mmbea namba MOJA Tanzania. Leo umemdhalilisha sana Irene Uwoya, eti Kisa mtoto wake hafanani na baba yake.
Laiti ningekuwa mimi ndio Uwoya ningekutukana matusi mazito hadi TCRA wafungie hicho kituo chenu cha radio. Unakera sana Sudi Brown. Tafuta namna nyingine ya kupata pesa badala ya kuingilia maisha binafsi ya watu.
really?ww ndo hujui kumbe, hao wasanii wenyewe ndo huwa wanamtafuta sud brown, mm kuna msanii mmoja naishi nae hapa mtaani huwezi kuamini anapenda sana kusoma magazet ya KIU na RISASI, kifupi anayahusudu sana magazet ya shigongo ambayo inshort ni umbea 100%. wasanii wetu wanapenda sana media tension, kuna wasanii wakipgiwa cm na sudi wanaona fahar mno.
Lazima angekuwa anatukanwa sana.Kile kisegment hakiendi live so ukitukana unajisumbua, wanaedit tu mitusi yako
[emoji3] [emoji3] noma noma ntakupigia ntakupigia [emoji2]Muacheni Soudy jamani,mmeombwa mumsome?
Huku mnamwaga povu lakini huko Insta kila saa mnachungulia kapost nini!
Namkubali Soudy kinomanoma.