Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Sudi Brown, umbea unaoufanya kamwe usidhani unakujengea heshima. Unavyowaumbua watu kwa kuingilia mambo yao ya ndani usidhani ni jambo jema.
Time will come, utazaa, watoto wako sijui watakuwa wakijisikiaje kuambiwa kuwa baba yenu ndiye mmbea namba MOJA Tanzania. Leo umemdhalilisha sana Irene Uwoya, eti Kisa mtoto wake hafanani na baba yake.
Laiti ningekuwa mimi ndio Uwoya ningekutukana matusi mazito hadi TCRA wafungie hicho kituo chenu cha radio. Unakera sana Sudi Brown. Tafuta namna nyingine ya kupata pesa badala ya kuingilia maisha binafsi ya watu.