[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] [emoji3] noma noma ntakupigia ntakupigia [emoji2]
[emoji2] [emoji2] ntakufanyia mpango uje tukutoe puvu [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaaah Soudy nampenda sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa Shemelaaaa[emoji2] [emoji2] ntakufanyia mpango uje tukutoe puvu [emoji2]
Mambo ya kunyapia nyapia[emoji2]
[emoji2] [emoji2] [emoji106][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa Shemelaaaa
atakama wana edit ukitukana wanakurusha 20% na dully walitukana wakarushwa hewanKile kisegment hakiendi live so ukitukana unajisumbua, wanaedit tu mitusi yako
Muandishi mpya wa Hotuba za raisNdio nani huyo? ana Impact gani katika Taifa?
akwende hukooooMuandishi mpya wa Hotuba za rais
Muacheni Soudy jamani,mmeombwa mumsome?
Huku mnamwaga povu lakini huko Insta kila saa mnachungulia kapost nini!
Namkubali Soudy kinomanoma.
Hatari sana Wanaume kuuonea fahari umbeahahaha wazee wa SHILAWADU[SHIRIKA LA WAMBEA DUNIANI] hawa shindwiii
Duh hawezi kumsengenya Mange maana yule ukiingia kwenye 18 zake huwa ni shida ujuwe familia yako hadi mabosi wako watatukanwa tu!Hivi Soudy amewahi kumsengenya Mange?
kutukana utukane wewe kufungiwa wafungiwe cloudsSudi Brown, umbea unaoufanya kamwe usidhani unakujengea heshima. Unavyowaumbua watu kwa kuingilia mambo yao ya ndani usidhani ni jambo jema.
Time will come, utazaa, watoto wako sijui watakuwa wakijisikiaje kuambiwa kuwa baba yenu ndiye mmbea namba MOJA Tanzania. Leo umemdhalilisha sana Irene Uwoya, eti Kisa mtoto wake hafanani na baba yake.
Laiti ningekuwa mimi ndio Uwoya ningekutukana matusi mazito hadi TCRA wafungie hicho kituo chenu cha radio. Unakera sana Sudi Brown. Tafuta namna nyingine ya kupata pesa badala ya kuingilia maisha binafsi ya watu.
Hana ubavu huo!hata kwa bahati mbaya!Hivi Soudy amewahi kumsengenya Mange?