Sudi brown acha kutengeneza pesa kwa kudhalilisha watu

Sudi brown acha kutengeneza pesa kwa kudhalilisha watu

Mleta mada uletewe ubuyu wa zanziber ushushe pumzi kwanza, halafu tune 294 Dstv tuendelee kumwangalia Soud brown na weekend chart show!
 
Skendo ni nzuri kwenye maisha ya wasanii wa Tanzania....

Ila kama msanii hapendi anaweza kufungua kesi
 
Muacheni Soudy jamani,mmeombwa mumsome?
Huku mnamwaga povu lakini huko Insta kila saa mnachungulia kapost nini!
Namkubali Soudy kinomanoma.

Ulishasema wewe umbea wako first class(4.5) lazima umpende mwanafunzi wako
 
Tupieni picha yake tumjue Coz anavaaga mask kwenye luninga
1472877541404.jpg
1472877551708.jpg
 
Sudi Brown, umbea unaoufanya kamwe usidhani unakujengea heshima. Unavyowaumbua watu kwa kuingilia mambo yao ya ndani usidhani ni jambo jema.

Time will come, utazaa, watoto wako sijui watakuwa wakijisikiaje kuambiwa kuwa baba yenu ndiye mmbea namba MOJA Tanzania. Leo umemdhalilisha sana Irene Uwoya, eti Kisa mtoto wake hafanani na baba yake.

Laiti ningekuwa mimi ndio Uwoya ningekutukana matusi mazito hadi TCRA wafungie hicho kituo chenu cha radio. Unakera sana Sudi Brown. Tafuta namna nyingine ya kupata pesa badala ya kuingilia maisha binafsi ya watu.
kutukana utukane wewe kufungiwa wafungiwe clouds
 
Back
Top Bottom