sijui sababu za kisayansi nyuma yake,lakini nadhani naweza kutoa sababu za kisaikolojia (Mtazamo wako juu ya kupika Ugali katika sufuria mpya).Yaani ule ''mshawasha'' na ''udambwi udambwi'' wa kupikia sufuria mpya,pengine unapunguza ufanisi wako katika pishi hilo.Mi nadhani hivyo,labda si sahihi..Kuanzia zile wanazopitisha wamachinga mpaka none stick zote jibu moja.
Si elewi kwani nyanya yangu aliniusia kabisa kuwa kuwa ugali unahitaji moto mkali amasivyo utainama, hata moto uwe mkali kwa sufuria mpya ninaishia kupata ugali uliyoinama.sijui sababu za kisayansi nyuma yake,lakini nadhani naweza kutoa sababu za kisaikolojia (Mtazamo wako juu ya kupika Ugali katika sufuria mpya).Yaani ule ''mshawasha'' na ''udambwi udambwi'' wa kupikia sufuria mpya,pengine unapunguza ufanisi wako katika pishi hilo.Mi nadhani hivyo,labda si sahihi..
Nialike nije kushuhudia maana mimi ni TomasoJamani, nimejaribu mara kadhaa kupika ugali kwa kutumia sufuria mpya, mara zote ninatoa ugali wa ajabu, na mimi ni mzoefu wa kupika ugali. Nikishapikia chakula kingine na kupikia tena ugali sufia ili, mambo yanakuwa mswano. Kuna aliyekumbana na hili?
UNGA GANI?Maji yaliyochemka.
ungetumia wa mbeya au malawiMaganjo wa Uganda au Iwisa wa South Africa na Azam siku nyingine lakini ninapenda sana Maganjo.
Jamani, nimejaribu mara kadhaa kupika ugali kwa kutumia sufuria mpya, mara zote ninatoa ugali wa ajabu, na mimi ni mzoefu wa kupika ugali. Nikishapikia chakula kingine na kupikia tena ugali sufia ili, mambo yanakuwa mswano. Kuna aliyekumbana na hili?
Poa[emoji106]Jaribu utupe mrejesho.
uganda wana mahindi mazuri kweli? ugali wa malawi mtamu sio mzuri au wa zambia yaani unaweza kula debeMaganjo wa Uganda au Iwisa wa South Africa na Azam siku nyingine lakini ninapenda sana Maganjo.