Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Dont tell me!!Hahahahah yawezekana ngoja nami nijaribu hahahahah ugali wenyewe basi ata najua kusonga [emoji13][emoji13][emoji13]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dont tell me!!Hahahahah yawezekana ngoja nami nijaribu hahahahah ugali wenyewe basi ata najua kusonga [emoji13][emoji13][emoji13]
Dont tell me!!
Ninavyokuaminia naomba nisiliamini hili.Ahhahahaha acha tu
Hivi hiki ni kilugha gani?Jamani Upogo!
Mama madikodiko yote yale unayopikaga , Ugali nehi kabisa.? Acha utani aisee.Hahahahah yawezekana ngoja nami nijaribu hahahahah ugali wenyewe basi ata najua kusonga [emoji13][emoji13][emoji13]
hizo sufuria zako probably ni made up of steel, halafu thermal conductivity ya steel ni very low compared to sufuria zilizokua made up na copper aluminium etc(ambazo ni thermal conductivity yake iko high)
Ndiougali unajua kupika?
Interesting...Jamani, nimejaribu mara kadhaa kupika ugali kwa kutumia sufuria mpya, mara zote ninatoa ugali wa ajabu, na mimi ni mzoefu wa kupika ugali. Nikishapikia chakula kingine na kupikia tena ugali sufia ili, mambo yanakuwa mswano. Kuna aliyekumbana na hili?
Jamani, nimejaribu mara kadhaa kupika ugali kwa kutumia sufuria mpya, mara zote ninatoa ugali wa ajabu, na mimi ni mzoefu wa kupika ugali. Nikishapikia chakula kingine na kupikia tena ugali sufia ili, mambo yanakuwa mswano. Kuna aliyekumbana na hili?
Ilinitokea mkuu, labda experience ya kupika ugali ilikuwa ndogo.
Mkuu ni kweli ugali ni chakula ninachokopenda sana na ninajua kukipika, lakini kula ugali mbichi kwenye sufuria mpya yalinitokea, siku hizi sufuria ikiwa mpya inaaza kuchemshia makande kwanza.Nakuamini uliposema wewe ni expert wa kupika ugali, ila najaribu kukumbuka nahisi kama niliwahi kusikia kauli kama hii kwamba sufuria mpya haiivishi ugali ila sina uhakika.
Tatizo wadada wa siku hizi mnapika ugali kwa sufuria, pia mnabana sufiria kwa chuma badala ya kutumia vitu vya asili. Mbaya zaidi mnapika wima wima. Iko haja ya kurudi tena kijijini mkafundishwe..Jamani, nimejaribu mara kadhaa kupika ugali kwa kutumia sufuria mpya, mara zote ninatoa ugali wa ajabu, na mimi ni mzoefu wa kupika ugali. Nikishapikia chakula kingine na kupikia tena ugali sufia ili, mambo yanakuwa mswano. Kuna aliyekumbana na hili?
Sababu ya kuuosha ni nini teh....Sijawahi sikia hii..............najua tu ile ya mwiko wa ugali hautakiwi kubaki mchafu, hata kama umepika ugali saa nane usk lzm kuuosha!!!!!!!!