"Sugar free Coke" ni sera imelazimisha au ni demand ya soko?

"Sugar free Coke" ni sera imelazimisha au ni demand ya soko?

Mwaikibaki

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
3,004
Reaction score
3,695
Siku za karibuni kumekua na uhaba wa soda zenye sukari kwa baadhi ya maeneo, nilichoshangaa ni kua ukiagiza soda ya Coke unaletewa chupa lenye lebo ya "haina sukari" najua na naelewa umuhimu wa kutokunywa masukari mengi ila pia ikumbukwe si kila mtu ana tatizo la sukari mwilini lakini ni uhuru wa mteja kupata atakacho.

Je kuna sera yoyote au sheria ya kulazimisha kuuziwa hizi coke zero manake naona producer ame create scarcity ya soda za sukari na anauza sugar free kibabe !
 
Zinakaribia ku-expire ndiyo maana mnalazimisha mzinywe ziishe ndiyo watoe zile za kawaida.
 
Back
Top Bottom