Msaada...sugarpaste/fondant ndo mpango mzima kwa ajili ya kucover cake...sasa ntapata wapi readymade sugar paste....km hakuna basi walau ingredients zake ili nitengeneze mwenyewe....nazo ni(1)gelatin (2) glucose syrup (3) glycerin..
I love doin cakes for fun...ila hao watengenezaji cake ukiwauliza hawakupi ushirikiano wkt wanazitumia...ila ndo kawaida ya wabongoo

FAUMI nimefanikiwa kupata pale shoperz. ..ni zile shelves za mwsho karibu na bakeryyani ulichoongea ni ukweli mtupu.....eti mtu hatak kukuambia au anakuongopea....dats y hata wanaotuma video zao youtube wengi ni wazungu...km huwezi kumuelekeza mwenzio basi hiyo ni dalili ya kutojiamini. Halafu ulifanikiwa kupata fondant hapo shoppers??
Hallo...
kama unapatikana Dar, nenda pale PRINCIPAL COMPANY LIMITED wanapatiaka sinza kumekucha karibu na kanisa la lutheran, hao jamaa wana ingredients nyingi na nzuri na watakupa na ushauri. website yao ni www.pcltz.com. wacheck watakuwa msaada mkubwa kwako.