Sugar paste for cakes

Sugar paste for cakes

tofali

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
4,010
Reaction score
3,419
Msaada...sugarpaste/fondant ndo mpango mzima kwa ajili ya kucover cake...sasa ntapata wapi readymade sugar paste....km hakuna basi walau ingredients zake ili nitengeneze mwenyewe....nazo ni(1)gelatin (2) glucose syrup (3) glycerin..
I love doin cakes for fun...ila hao watengenezaji cake ukiwauliza hawakupi ushirikiano wkt wanazitumia...ila ndo kawaida ya wabongoo
 
Nenda shoppers supermk dar zipo fondant zikiwa tayari na ukitaka kufanya mwenyeo surch kwny youtb utaona maelekezo
 
Thank uuuuu so muuuuch....naweza kutengeneza mwenyewe God bless u
 
Msaada...sugarpaste/fondant ndo mpango mzima kwa ajili ya kucover cake...sasa ntapata wapi readymade sugar paste....km hakuna basi walau ingredients zake ili nitengeneze mwenyewe....nazo ni(1)gelatin (2) glucose syrup (3) glycerin..
I love doin cakes for fun...ila hao watengenezaji cake ukiwauliza hawakupi ushirikiano wkt wanazitumia...ila ndo kawaida ya wabongoo

yani ulichoongea ni ukweli mtupu.....eti mtu hatak kukuambia au anakuongopea....dats y hata wanaotuma video zao youtube wengi ni wazungu...km huwezi kumuelekeza mwenzio basi hiyo ni dalili ya kutojiamini. Halafu ulifanikiwa kupata fondant hapo shoppers??
 
Hallo...
kama unapatikana Dar, nenda pale PRINCIPAL COMPANY LIMITED wanapatiaka sinza kumekucha karibu na kanisa la lutheran, hao jamaa wana ingredients nyingi na nzuri na watakupa na ushauri. website yao ni www.pcltz.com. wacheck watakuwa msaada mkubwa kwako.
 
FAUMI nimefanikiwa kupata pale shoperz. ..ni zile shelves za mwsho karibu na bakery
 
Last edited by a moderator:
Hallo...
kama unapatikana Dar, nenda pale PRINCIPAL COMPANY LIMITED wanapatiaka sinza kumekucha karibu na kanisa la lutheran, hao jamaa wana ingredients nyingi na nzuri na watakupa na ushauri. website yao ni www.pcltz.com. wacheck watakuwa msaada mkubwa kwako.

Asante sana mdau..nitapita pale
 
bora umwambie kma umepata mda gani umeandika hawajaweza kukupa ushauri anakuja sasa hvi na kusema maneno ya kejeli sasa nimuelekeza vipi kwny youtb nawakat mtu unaserch tu kma ww ulikua unajua zaid.kwann hukuja mapema.kuelekeza
 
bora umwambie kma umepata mda gani umeandika hawajaweza kukupa ushauri anakuja sasa hvi na kusema maneno tu hajui anachokisema naona sasa nimuelekeza vipi kwny youtb nawakat mtu unaserch tu kma ww ulikua unajua zaid.kwann hukuja mapema.kuelekeza
 
You tube ndo mwalimu wangu mkubwa
 
Back
Top Bottom