Sugar Ray Night Club yafungwa rasmi

Bado matako bar sijui na yenyewe itafungwa? Jamaniiii tuachieni take away zetu twafwaaa!
 
yan madada wanaojiuza wakiamia mitaani ndo hatar zaidi mana wataua watu wengi bora wangewaacha pale pale ili anaetaka uduma ajipeleke mwenyewe lkn mtaani vijana watajua ni binti wa kawaida ni vijana wengi wataenda mwendo wa dry
 
Hapo hawajatatua tatizo, Tanga watu wanafanya biashara mchana kweupe. Mtu anapigiwa simu tu kwamba tukutane Lodge fulani anapiga baibu/ninja na Anaenda kufanya biashara vizuri....
 
Waje na Morogoro wafunge Kahumba nyuchi zinauzwa mchana kweupe, halikadhalika King parice.
 
Sasa mbona sioni connection ya Bar kuadhibiwa kwa Wadada kujiuza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…