Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tofauti ya dre na diddy ni kuwa both dre and puffy ni rappers(selling albums) and producersSasa mbona wenzie p diddy na dr dre ni mamilionea halafu yeye suge kama CEO wa record label kubwa ya kipindi hiko kachoka kabisa.
Lakini mbona nimesoma jamaa aliweza kuipandisha rekodi label mpaka ikawa na thamani ya $100M ndani ya mwaka mmoja tu.tofauti ya dre na diddy ni kuwa both dre and puffy ni rappers(selling albums) and producers
suge hana kipaji kingine aidi ya kuwa CEO wa death row,na hela yenyewe ya kuanzisha death row alimpora vanilla ice kwa kumsainisha document at a gun point
akina dre ni magenius kwenye business,suge ni street gangbanger aliyeakimbia professional football
hata dre alikuwa na share kwenye death rowLakini mbona nimesoma jamaa aliweza kuipandisha rekodi label mpaka ikawa na thamani ya $100M ndani ya mwaka mmoja tu.
Lakini kwa hukumu hii inatokana na kugonga mtu na kukimbia bila kutoa taarifa polisi na watu wa huduma ya kwanza.Akafie mbele mtu toka ujana wako mpaka uzee unafanya u gangstar usio na faida. Age mate wake wakina snoop ice cube wanaheshimika kwa jamii zao sababu wanajua how to play with time.
huyu dogo naye aache kelele"If Suge slaps me its the Day He'll be 6ft Deep". The Game
Ivi vijana wa outlaw wanashindwa kumsave suge au nao wana bef Na sugehata dre alikuwa na share kwenye death row
dre alimleta snoop ambaye aliuza copy za kutosha,karata dume aliyocheza suge ni kumpeleka tupac death row,pac aliiletea death row mapato mengi na jina kubwa....tupac ndio alikuwa game changer pale death row
lack of discipline ya hela ndilo lilikuwa tatizo la wale wasela
suge alimzingua kila mtu death rowIvi vijana wa outlaw wanashindwa kumsave suge au nao wana bef Na suge
suge alimzingua kila mtu death rowIvi vijana wa outlaw wanashindwa kumsave suge au nao wana bef Na suge
Ubabe unamwisho . support anapata kwa mwanae tu ila ata mwanae pesa emptysuge alimzingua kila mtu death row
wote wanamuombea afe,aliwadhulumu sana
sasa hivi suge anapigwa na dunia tu,anatia huruma
anaanguka kifafa,kwa ufupi kachoka na huko jela sijui kama hawatamtumia hitmen kummaliza
Pesa kaishiwa.crips gang wanamtaka .bef Na watu alio watapeli . scandal ya PAC . Anausika Na ku kill black raper .selo ni salama kwakeGanstar usio na maana ni ule wa kuingia jela uzesni jela inatakiwa uende mwisho 35 baada ya hapo ni businesa tuu
Mkuu uko deepsuge alimzingua kila mtu death row
wote wanamuombea afe,aliwadhulumu sana
sasa hivi suge anapigwa na dunia tu,anatia huruma
anaanguka kifafa,kwa ufupi kachoka na huko jela sijui kama hawatamtumia hitmen kummaliza
Ana mtoto kumbe? FamiliaUbabe unamwisho . support anapata kwa mwanae tu ila ata mwanae pesa empty
Ndo wanasema anacheza na paroleHyu jamaa hajawahi kwenda jela na akamaliza kipindi cha miaka aliopangiwa.....sijui kwa nn