Suge Knight : 28 years in prison

I'm in prison. But my heart and mind is free. Gangsta haters on the streets are
doing more time than me. They need 30 police escorts with them every time they walk down the street.

Suge
 
ukweli utabaki ukweli kwamba bila suge knight no dr dre, 2 pac or the west side g funk music jamaa licha ya matatizo yake ila ndio aliofanya music wa 1990 to 1999 kuitwa the golden era na wazungu wenyewe sema alikuwa mtemi saana dr dre and ice cute walikuwa wanataka kutoka kwa eazy E kumbuka suge knight alimwambia asipowaachia atamuuwa akawaachia ndio album ya the chronic ilikuwa life changer ya dr dree
 
mtaalam suge knight..
 
mkuu kuna vitu nakubaliana ila mengine tutatofautiana
1. si kweli kuwa no suge no 2pac,tupac alikuwa kashatoa album tatu kabla ya kwenda death row na alikuwa maarufu sana tu
2pacalypse now ilikuwa na smash hit brenda's got a baby na trapped
strictly for my n.i.g.g.a.z ilikuwa na hits kama keep ya head up na i get around
me against the world hapa sina la kuongeza,kila mtu anajua dear mama,me against the world,temptation,can u get away
2. west coast ilikuwa inabang kabla ya death row,labda umewasahau NWA
3. golden era rap ililetwa na death row!!!!mkuu ina maana hujui kuwa east coast kulikuwa kunabang?!!!!!!
 
yes nakubaliana na wewe but suge knight ana mchango mkubwa saaana kwa west coast g funk afu jamani naomba niwaeleweshe kwamba puffy daddy ujanja wa biashara ndio umemfikisha hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…