Suge Knight aanguka mahakamani

hah hah hah Dah Big Suge mbabe wa ukweli.huyo hafungwi na wala hatofia jela.
wasiwasi wangu tu asije akafungwa gereza moja na Rally O
 
safari hii sijui kama atachomoka maana kesi za kuua kaishachomoa nyingi...pia alituma watu wakamsainishe mkataba 'vanila ice' wa kujiunga na death row records huku wamemshikia bastola tumboni..ila darasani alikua yupo vizuri sana..


kama ungeweza kuliongoza vizuri kundi la NWA basi sidhani kama angekuwa tajiri na maarufu.

Lakini ni wewe easy E ndie ulipelekea ice cube na Dr Dre kujitoa na hata Dre kwenda kuungana na Dubwasha hilo
 


umewahi kujiuliza kwanini akipigwa huwa anasema waliompiga hawajui?
 
umewahi kujiuliza kwanini akipigwa huwa anasema waliompiga hawajui?

Anaogopa ataonekana snitch! Anaficha wabaya wake ili awatafute mwenyewe mtaani amalizane nao!

Sasa atamalizana na pilato na atazamishwa ndani tu.

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Anaogopa ataonekana snitch! Anaficha wabaya wake ili awatafute mwenyewe mtaani amalizane nao!

Sasa atamalizana na pilato na atazamishwa ndani tu.

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums


swadaktaaaaaaar...
ndio maana mi nalikubali sana hilo Dubwasha
 
Ila jamaa ni mbabe nyoko ,nimesoma file lake walowasilisha mahakamani,wamekusanya matukio since ya kitambo!!

Ni kama una soma upya novel ya the godfather
 
swadaktaaaaaaar...
ndio maana mi nalikubali sana hilo Dubwasha

Hahaha ila mwisho wa ubaya ni AIBU! Si unamuona jamaa anavyolamba sakafu mwenyewe bila hata kusukumwa?

Lifestyle hii iko sana Nairobi na Arusha kwa mbali! Watu kuwa na magenge na ku-control mitaa yao!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Suge ametesa sana watu enzi yake. Ni time yake kulipia part yake katika kifo cha Pac. Huyu ---- alicheza dili na 'mamlaka za dunia' kumuondoa Pac kwa sababu alikuwa anawaharibia sana.

Suge alijua wazi Pac angeondoka DR baada ya mkataba wake walisaini ili atolewe jela kuisha. Na Suge hakuwa tayari kupoteza his main money making machine man. Pac aliwahi kukiri hadharani kwamba, japo alikuwa na mafanikio makubwa kimuziki chini ya DR, hakuwa na furaha.

Suge alimuuza Pac since he was gonna lose him anyway. And as part of the deal, some of his crimes zingepotezewa.
Malipo duniani arif
 

Suge was a punk. Huyu alitumia nguvu ili Easy amuachie Dre. Jamaa aliendekeza ubabe wa kishamba, story ni kuwa alikuwa na cell ndani DR studio, usipoelewana nae anakufungia humo na m'bwa wake (damu).

Snoop aliwahi kukiri kwamba alikuwa anamuogopa sana mchizi, ndo maana hakusema kitu hata baada ya miaka kibao ya kusepa DR.

Hakuuza Studio, aliipoteza kisheria kwa mke wa Harry-O ambae ni kama mwanzilishi pia, japo alikuwa anamuwakilisha mumewe aliyekuwa jela.

Dre alikuwa smart kumskiliza Jimmy Lovine. Saivi jamaa anakaribia kuwa billionaire thanx to Jimmy.

Suge kaishiwa saivi, na alitengeneza maadui wengi kipindi yuko hot, hata marafiki wengi aliokuwa nao walikuwa ki-uwoga tu.
 
Snoopy Dog alitamka wazi kuwa yeye ndo alimuua Pac.
hakuna ambae hafahamu ugomvi wa snoopy na suge,hiyo alitumia kama advantage,hata bodyguard wa tupac Big frank kabla ya kufa alisema mara kadhaa kuwa suge hakumuua tupac kwa namna yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…