suge ni member wa Bloods, na wengi wanaomuongelea vibaya ni crips na wale ambao wanamuogopa,naamini tatizo kubwa la suge lilianza pale alipoondoka dre kwenye record label yake na msururu wa wasanii kuondoka,ni kweli ubabe wake unachangia upweke wake lakini ni vitu vya kawaida,eazy e hakuningingizwa kwenye ghorofa amuachie dre ...ila suge alikua ni mtu anaependa wasanii wake na kuwalinda akiwaekea security ya kutosha.
serikali baada ya kuanza kumfatilia biashara zake ndio alipoamua kuiuza studio yae na kutangaza kufilisika,kuanzia hapo things had not been the same,juzi tu hapa alipigwa risasi kwenye party ya chriss brown,pia aliwahi kupigwa na dogo mmoja hv,kesi zote hizi suge huwa hatoi report,...
life suck,sasa hv suge hana hela,umri umekwenda na pia zama zake zimeisha,so people are throwing punch at him,na ubaya hana nguvu ndani ya bloods,no one to protect him,he is the old Don thats fall lonely ,poor suge!
namuhurumia sana,simchukii lakini kanifundisha kitu kwa kweli