Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,689
Mkuu sizungumzii watu ambao can't be touched, hao nawajua. Nazungumzia watu ambao kama mtu anakuzingua na hela yako kwa mfano unaweza kwenda na ukapata huduma ya kwenda kumu-intimidate huyo mdeni wako mpaka akulipe, hao ndio nawataka.
hakuna ushirikiano kwenye mambo hayo ya mauaji bro niamini,Frank Lucas hakushirikiana na cops,ile iliwekwa kwenye movie tu kuleta utamu alieshirikiana na cops anaitwa nicky barnes,na ilikua sio kwenye mauaji ....hii nitafute nikueleweshe mzee...
Hivi alikua anamwita mbwa wake damu kiswahili?Suge was a punk. Huyu alitumia nguvu ili Easy amuachie Dre. Jamaa aliendekeza ubabe wa kishamba, story ni kuwa alikuwa na cell ndani DR studio, usipoelewana nae anakufungia humo na m'bwa wake (damu).
Snoop aliwahi kukiri kwamba alikuwa anamuogopa sana mchizi, ndo maana hakusema kitu hata baada ya miaka kibao ya kusepa DR.
Hakuuza Studio, aliipoteza kisheria kwa mke wa Harry-O ambae ni kama mwanzilishi pia, japo alikuwa anamuwakilisha mumewe aliyekuwa jela.
Dre alikuwa smart kumskiliza Jimmy Lovine. Saivi jamaa anakaribia kuwa billionaire thanx to Jimmy.
Suge kaishiwa saivi, na alitengeneza maadui wengi kipindi yuko hot, hata marafiki wengi aliokuwa nao walikuwa ki-uwoga tu.
Sasa uchumi wa California utalinganisha na wa Ilala?mbona marekani dhamana inakua kubwa sana wakati hapa bongo kina child benz wanatoa laki tisa wanatoka