Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,689
Mkuu sizungumzii watu ambao can't be touched, hao nawajua. Nazungumzia watu ambao kama mtu anakuzingua na hela yako kwa mfano unaweza kwenda na ukapata huduma ya kwenda kumu-intimidate huyo mdeni wako mpaka akulipe, hao ndio nawataka.
I get ur point, Hao honestly ni wachache mno na ikiwezekana bongo hii hawapo kabisa..... Watu type hyo ni one of a kind. Honestly bongo hamnaga real gangstars. Watu waoga wa jela. Lol
South Africa wapo....ukisikia mtu gangsta in the US ujue amepinda kweli sio masihara.