Suge Knight aanguka mahakamani

Suge Knight aanguka mahakamani

Suge was a punk. Huyu alitumia nguvu ili Easy amuachie Dre. Jamaa aliendekeza ubabe wa kishamba, story ni kuwa alikuwa na cell ndani DR studio, usipoelewana nae anakufungia humo na m'bwa wake (damu).

Snoop aliwahi kukiri kwamba alikuwa anamuogopa sana mchizi, ndo maana hakusema kitu hata baada ya miaka kibao ya kusepa DR.

Hakuuza Studio, aliipoteza kisheria kwa mke wa Harry-O ambae ni kama mwanzilishi pia, japo alikuwa anamuwakilisha mumewe aliyekuwa jela.

Dre alikuwa smart kumskiliza Jimmy Lovine. Saivi jamaa anakaribia kuwa billionaire thanx to Jimmy.

Suge kaishiwa saivi, na alitengeneza maadui wengi kipindi yuko hot, hata marafiki wengi aliokuwa nao walikuwa ki-uwoga tu.
ukiwa mfanyabiashara,ni lazima utumie mbinu zozote kuhakikisha unafanikiwa,ikiwemo ubabe,kuwapiga watu na gongo la basebal na mengineyo ni kawaida sana ya suge nachosema hakumninginiza easy e ili awe na dre
 
Kichuguu, umeongea point
kwa nyie watoto wa mama,lazima muelewe kwamba,
1 mwanaume lazima uogopwe na watu wanaokuzunguka,
2 lazima wakuheshimu hata kama ni heshima ya woga
3 lazima ujue kuna nyakati tofauti,kuanguka na kuamka
4 maisha sio woga wa kuogopa jela kama wanawake
5 sometime lifes suck,maisha yanaweza kuwa machuchu zaidi ya alovera na bado ukiamua unasurvive

acheni chuki na maneno ya kiswahili
 
Robert Durst mtoto wa tajiri bond Yake haifiki j
Hapo .Hii ni campaign against rap music according to Bill oreilly ,Oprah eti Rap music Ina shabikia violence and use of guns .Hawatamwachia Huyu na watu wanasema alimuua Tupac

huo ndo ukweli marapa wengi wahuni, kwenye mistari yao maneno kama (bitch,f*ck,weed,nigga,gun, f*ck police) hayakosekanagi
 
hakuna ambae hafahamu ugomvi wa snoopy na suge,hiyo alitumia kama advantage,hata bodyguard wa tupac Big frank kabla ya kufa alisema mara kadhaa kuwa suge hakumuua tupac kwa namna yoyote

Big Frank alijua wazi kifo cha Pac ilikuwa amri kutoka kwa 'wanaoandika scripts za hii dunia'. Hakutaka kuingia ndani zaidi kwa sababu kama jamaa waliweza kumpoteza Pac, wasingesita kumpoteza mtu kama yeye. Pia Big Frank met Pac kupitia Big Suge, so he owed his loyalty to Suge in a way. Pia Suge saved Frank's life that shooting night kwa kumwambia asi-ride na Pac kwenye gari moja, which he found it strange ila grateful.

Suge pamoja na ubabe wake, alikuwa anamuheshimu na kumpenda Pac, hakuwai kumfanyia upuuzi.

Suge part aliyocheza katika kifo cha Pac, ni kumfatisha Pac script ya kifo chake. Kuanzia kumzingua Orlando Anderson pale Casino, ambae nae alikuwa anaujua mchezo wote. Hii script lengo lilikuwa ni kuwafanya watu ambao wata-doubt kifo cha Pac kusababishwa na beef za kimuziki, basi wafikirie Crips ambao Orlando alikuwa member wamelipa kisasi, since Suge alikuwa Pirus/Bloods, and Pac rolled with him.

Kwanini Suge alikubali huo mchezo? 2 reasons, Pac alikuwa anaondoka DR baada ya mkataba wake kuisha, Suge hakuwa tayari kumpoteza. Sababu ya pili, Pac ilikuwa lazima afe whether Suge angekubali or not, Pac's mouth and heart were something 'they' were never gonna stand. So Suge akaona bora awe down afaidike, cos japo hakupenda ila hakuna ambacho angeweza kufanya kuzuia.
 
ukiwa mfanyabiashara,ni lazima utumie mbinu zozote kuhakikisha unafanikiwa,ikiwemo ubabe,kuwapiga watu na gongo la basebal na mengineyo ni kawaida sana ya suge nachosema hakumninginiza easy e ili awe na dre

Ukiwa mfanya biashara sio lazima utumie mbinu chafu kufanikiwa, watu kama nyie ndo mnaua albino
 
Robert Durst mtoto wa tajiri bond Yake haifiki j
Hapo .Hii ni campaign against rap music according to Bill oreilly ,Oprah eti Rap music Ina shabikia violence and use of guns .Hawatamwachia Huyu na watu wanasema alimuua Tupac
Hakuna kitu kama campaign against Rap music eti kwa sababu inachochea violence na vitu kama hivyo, hiyo ni kutupumbaisha. If anything, 'wenye maamuzi ya hii dunia' wanafurahia na ku-support those kind of rappers.

Angalia support wanayopata watu wanaoimba upumbavu kila siku, kila Lil wayne, Rick Ross, Minaj, na wengine kibao kwenye media, halafu angalia support wanayopata watu kama Talib, Mos Def, Common, Asheru na wengine wanaojaribu kuwaamsha waliolala na kuwasihi walikwisha amka waendelee kuwa macho.

Hao jamaa 'wenye dunia' wanataka tuendelee kuwa wapumbavu ili iwe kazi rahisi kutu-control, na wanajua mchango wa rappers katika hilo. Na wana-improvise daily, saivi tunafundishwa kukubali ushoga ndani ya rap through the likes of Young Thug, baada ya lil wayne na drake kuanzisha hizo harakati. Ushoga unakuja kupunguza population, so inakuwa rahisi kuwa monitored and controlled. Africa tunawekewa vikwazo na mashinikizo chungu nzima tukubali hii kitu.

Kifupi, hao jamaa wanaopanga mchezo wako smart. Wanacheza na akili zetu kwa kila namna, wanawatengeneza heroes kama kina Lupita ili wasaidie kupitisha ideas zao kiurahisi huko badae.
 
Mkuu Suge Knight hajawahi kutaka kumsainisha Vanilla Ice Deathrow (Vanilla hana talent hiyo). Kilichotokea ni kuwa kuna dogo mmoja alikuwa ni "ghostwriter" wa Vanilla. Baada ya Vanilla ku-hit na ngoma kama "Ice Ice Baby" na "Play That Funk Music" akampotezea dogo akawa hampi credit na pasu yake ya loyalties (mrahaba). Ndipo dogo akaenda kwa Suge ili amsaidie. Kipindi hicho hata Deathrow ilikuwa haijaanzishwa (Suge alikuwa bodyguard wa Bobby Brown).

Suge akaenda Miami ambako Vanilla alikuwa anaishi. Vanilla akaitwa kwenye hoteli aliyofikia Suge ambapo Suge alikuwa anakaa kwenye ghorofa ya sita. Alipoingia ndipo Suge akamwambia kuwa yeye ndiye meneja wa yule dogo na amekuja kuchukua hela yoote ambayo dogo alkuwa hajalipwa. Vanilla akawa mbishi, ndipo jamaa zake Suge wakamchukua na kumpeleka dirishani mwa chumba na kumwambia kuwa usipompa dogo hela yake utatokea dirishani badala ya mlangoni, Vanilla akaufyata.

Ha haa haaa haaa! Mtaani kwetu kuna watu kadhaa walikuwa ndio wababe na mmojawapo aliitwa mjomba Siza, duh nakumbuka aliwahi fanya tukio kama hili la bwana Suge.
 
Watu weusi niggaz nasikia bado wanauana uana hadi leo huko mitaani kwa Obama!! Aisee
 
hili jamaa ni korofi na katili acha lifie mbali!!
 
Unajua kuna case/situation zingine kwenda police is a complete waste of time...Hata hapa bongo wako such people kama Suge and they are extremely feared and powerful. You just have to give them a simple cut (money) sometimes just sincere friendship and ur enemies are likely to fear you all their lives. Ukiangalia gangsta movies like Goodfellas, The Godfather, Gotti to mention a few utanielewa nachosema. I have practised that kind of intelligence and trust me it works. No one z gana f*ck wit u. Good example angalia hata maisha ya boarding school kama umeshawahi yapitia....its tha same.

Yeah, kwenda Polisi ni upuuzi na kupoteza muda. E bwana kina nani hapa Dar wanaweza fanya kazi hiyo? Zamani najua walikuwepo lakini siku hizi naona kama Dar is of pussies.
 
Dah..mtu mzima Suge Knight anaumbuka,jamaa nilikuwa namkubali sana kwa michezo yake michafu,ila ndo maisha niliwahi soma mahali kwamba jamaa alikuwa ktk scandal ya kumuua 2Pac.
 
Hakuna kitu kama campaign against Rap music eti kwa sababu inachochea violence na vitu kama hivyo, hiyo ni kutupumbaisha. If anything, 'wenye maamuzi ya hii dunia' wanafurahia na ku-support those kind of rappers.

Angalia support wanayopata watu wanaoimba upumbavu kila siku, kila Lil wayne, Rick Ross, Minaj, na wengine kibao kwenye media, halafu angalia support wanayopata watu kama Talib, Mos Def, Common, Asheru na wengine wanaojaribu kuwaamsha waliolala na kuwasihi walikwisha amka waendelee kuwa macho.

Hao jamaa 'wenye dunia' wanataka tuendelee kuwa wapumbavu ili iwe kazi rahisi kutu-control, na wanajua mchango wa rappers katika hilo. Na wana-improvise daily, saivi tunafundishwa kukubali ushoga ndani ya rap through the likes of Young Thug, baada ya lil wayne na drake kuanzisha hizo harakati. Ushoga unakuja kupunguza population, so inakuwa rahisi kuwa monitored and controlled. Africa tunawekewa vikwazo na mashinikizo chungu nzima tukubali hii kitu.

Kifupi, hao jamaa wanaopanga mchezo wako smart. Wanacheza na akili zetu kwa kila namna, wanawatengeneza heroes kama kina Lupita ili wasaidie kupitisha ideas zao kiurahisi huko badae.

Bro...umenibadilisha mtazamo sana. Thanx.
 
Yeah, kwenda Polisi ni upuuzi na kupoteza muda. E bwana kina nani hapa Dar wanaweza fanya kazi hiyo? Zamani najua walikuwepo lakini siku hizi naona kama Dar is of pussies.

Basi ukiona hvyo we bado bwana mdogo sanaaa hapa town....Wapo sanaa, there are people bongo hii hii who can't be touched...Ongea na watu vizuri. Tena wengine ni watu wazima huwez wadhani kabisa filthy rich and very calm.
 
Back
Top Bottom