Suge Knight anasema 2Pac hajafa!!

Sasa kama hana imani si muacheni ivo ivo tatizo liko wapi
 
Jana tu nimetoka kuangalia muvi ya all eyes in me.... ya Demetrius shipp jr, aisee kama ina uhalisia kweli wa tukio la pac bas kupona zile shaba ilikua ngumu. Jamaa hawakua amateurs kama watu wasio julikana,
 
Suge Knight everyday anachanganya ma file..
 
Ile albadir iliompiga "baba" imempiga na huyo!
 
Ni Amar mkuu na si omari
 
I'm really cocky - but that's on the low
like Makaveli's intro when it sound like somebody said "Suge shot me" huo ni mstari wa Crooked I kwenye wimbo Illmind
Kuna wanaoamini Suge alipanga kuuawa kwa Pac, wengine wanaamini Diddy alimuua BIG, wengine wanaamini USA gov kupitia FBI ndio wahusika. Mwisho wa siku naamini PAC amekufa hata waseme nini
 
All eyes on me
Anakwambia "money bring bitches and bitch bring love"
 
"Before you eat your girl she ate me, you give her money she pays me"
 
Jana tu nimetoka kuangalia muvi ya all eyes in me.... ya Demetrius shipp jr, aisee kama ina uhalisia kweli wa tukio la pac bas kupona zile shaba ilikua ngumu. Jamaa hawakua amateurs kama watu wasio julikana,
Ni all eyes on me sio in me
 
Ni all eyes on me sio in me


Na ni muvi mbaya sijapata kuona sijui jamaa walikurupuka au.Demetrius shipp jr kafanya kweli waliobaki sasa mmmhhh. Kama yule Snoop D wa humo haaa haaa
Straight outta compton itabakia kuwa the best hip hop biography movie of all time
 
Si yuko jela huyo Suge Night kaongea saa ngapi au ashatoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…