beefinjector
JF-Expert Member
- Jul 23, 2009
- 2,458
- 2,496
Suge Knight ni gangbanger maisha yake yote, ni member wa gang ya Mob Piru (The Bloods). Street code ya gangs ni kwamba hutakiwi kushirikiana na vyombo vya usalama vya serikali. Maana yake ni kwamba hata kama mtu amekushambulia akitaka kukuua na unamjua kabisa hutakiwi kumtaja kwa polisi, FBI etc. Unatakiwa kulipiza kisasi wewe mwenyewe. Ukitoa taarifa Polisi unapoteza kabisa credibility ya kuwa gang member na snitching ni capital offense kwa gang members.
Kitu cha uhakika ni kuwa kuna mtu/watu saa hizi wameshajificha (gone underground) kuogopa hasira za huyu jamaa maana atakuwa akikesha kuwatafuta.
Kitu cha uhakika ni kuwa kuna mtu/watu saa hizi wameshajificha (gone underground) kuogopa hasira za huyu jamaa maana atakuwa akikesha kuwatafuta.