Suggest a Topic for business owners to discuss

Josephine03

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2012
Posts
752
Reaction score
302
Wakuu nawasalimu, Ninaandaa Mkutano (breakfast meeting) na wafanyabiashara. Swala ni kwamba nataka niwakusanye wafanyabiashara ili wakutane na management ya TRA kwa lengo la kuwashawishi kwenye ulipaji kodi. Kama inavyoeleweka tukiwaambia kuwa topic husika inakuwa ngumu kuwapata washiriki. Najua hapa kuna wengi wapo kwenye sekta hii na wanazijua kero nyingi.
 
Dada ni ishu nzuri sana, Ila wengi wetu tukisikia TRA huwa tunakula kona lakini TRA nisha gundua hawana shida na ukifuata zile procedure zao utaona ni rahisi, Ila thread kama hii hiwezi pata wachangiaji ila ungesema Unatoa pesa bure ungeshapata PM za kutosha,

Nakumbuka kipindi nikiwan Chuoni Huko Morogoro tuliwahi organise na kuwaita TRA morogoro wakaja kutupa shule ya Kodi, sasa kwa sababu sisi tulio waita Kozi yetu tulikuwa wachache, Ikabidi tuwaalike na Kozi zingine waje kusikiliza, sasa, Kazi ilikuwa kipindi cha Maswali, Waengi wa walio alikwa maswali yao yalihusu kama Kuna Nafasi za kazi TRA,

So wewe organise hawana shida ila kama mkiwa wachache sana mnaweza wafuata Ofisini kwao kitengo cha Elimu kwa Walipa Kodi, TRA ya mkoa Wa arusha kile kitengo huwa Wafanya kazi wake wana raha sana kwa sababu wanaweza kata mwezi bila kupata mteja anaye enda kupata ushauri,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…