Dada ni ishu nzuri sana, Ila wengi wetu tukisikia TRA huwa tunakula kona lakini TRA nisha gundua hawana shida na ukifuata zile procedure zao utaona ni rahisi, Ila thread kama hii hiwezi pata wachangiaji ila ungesema Unatoa pesa bure ungeshapata PM za kutosha,
Nakumbuka kipindi nikiwan Chuoni Huko Morogoro tuliwahi organise na kuwaita TRA morogoro wakaja kutupa shule ya Kodi, sasa kwa sababu sisi tulio waita Kozi yetu tulikuwa wachache, Ikabidi tuwaalike na Kozi zingine waje kusikiliza, sasa, Kazi ilikuwa kipindi cha Maswali, Waengi wa walio alikwa maswali yao yalihusu kama Kuna Nafasi za kazi TRA,
So wewe organise hawana shida ila kama mkiwa wachache sana mnaweza wafuata Ofisini kwao kitengo cha Elimu kwa Walipa Kodi, TRA ya mkoa Wa arusha kile kitengo huwa Wafanya kazi wake wana raha sana kwa sababu wanaweza kata mwezi bila kupata mteja anaye enda kupata ushauri,