SUGU adai yeye ndiye muasisi wa Bongofleva

Nyimbo za kitambo za kiswahili zilikuwa nyingi tu kabla ya Mr 2, sema sugu aliipaisha game, Kuna ngoma hoya msela Hoya ,umo ndani mpaka ruge yumo, hii ilikuwa ndiyo ngoma za Kwanza kabisa kuhiti za kiswahili , kwa kutumia verse halisi za msanii

Salehe jabil alikuwa anabadilisha ngoma za mbele kuwa za kiswahili
 
Taita mtata, movement yake tangu anaanza mpaka alipo sasa inavutia.
 
Aliniacha madarasa mawili shule ya msingi Ligula Mtwara kisha Sabasaba Secondary iliyopo Mtwara pia. Mtaani kwetu Ligula akifahamika zaidi kwa jina la Mei.
Mtu wa harakati sana, big up Bro.
 
Vp kuhusu Salehe Jabiri...sugu ache sifa zisizo zake
 
Tatizo hakukua na kumbukumbu, Naomba nisaidie aliimba kiswahili na zilikua zinapigwa redioni? Maana mtu akirekodi akakaa na tape ndani ni ngumu kufahamika
Vp kuhusu Salehe Jabiri...sugu ache sifa zisizo zake
 
Dully anaanza muziki, watu tumeshaanza kuruka ngoma za 11 proud zamani.Dully kaanza lini muziki?
Unaijua bongofleva lakini wewe? Sugu haimbi bongofleva Dully ndio mwanzilishi wa bongofleva au jina lingine inaitwa baibuda Sugu pia hata Swahili rap hakuanzisha yeye aliyeanza kurap kwa Kiswahili ni Saleh Jabir
 
Tatizo hakukua na kumbukumbu, Naomba nisaidie aliimba kiswahili na zilikua zinapigwa redioni? Maana mtu akirekodi akakaa na tape ndani ni ngumu kufahamika
Wakati huo radio ilikuwa moja tu radio tanzania. Saleh Jabir alikuwa na album na iluzwa mpaka madukani. Hata GWM wameanza kurap Kiswahili kabla ya Sugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…