Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Mbeya Mjini , Joseph Mbilinyi (Sugu) , leo ameendelea na ukarimu wake , ambako amefika Maskani ambayo wanajipumzisha wazee wa Isanga , baada ya shughuli za kutwa nzima (KILABUNI) , kwa lengo la kuwajulia hali zao na kuwasalimia .
Ama kwa hakika huyu jamaa anapendwa na Wazee wa Mbeya , USIPIME ! Shangwe zilizoibuka baada ya Sugu kuingia kwenye Klabu hiyo si za nchi hii , hivi ana kizizi au ni upendo tu wa kawaida ?
Ama kwa hakika huyu jamaa anapendwa na Wazee wa Mbeya , USIPIME ! Shangwe zilizoibuka baada ya Sugu kuingia kwenye Klabu hiyo si za nchi hii , hivi ana kizizi au ni upendo tu wa kawaida ?