Sugu afika Club ya Wazee Isanga kwa lengo la Kuwasalimia

Sugu afika Club ya Wazee Isanga kwa lengo la Kuwasalimia

Huyo hatumtaki tunataka maendeleo mbeya yetu sasa inakua

Upuuzi wa kushangilia chadema ata balabala hamna haupo tena

Akija kupita tena uyo mwendawazimu na mvuta mabangi niite mbwa nimekaa pale

Viva mbeya.
 
Haka kakitengo ka kulamba viatu vya viongozi wa Chadema kanakufaa unakatendea hali. Sugu hawezi Rudi kuwa Mbunge wa Mbeya. Mark my words. Wanambeya walishagundua kosa lao... Atabaki kuwa na washkaji na wacha atembelee wazee,vijana na watoto lakini Ubunge.aachane nao. Ajikite kwenye Hotel yake tu.
Usitusemee sisi wana Mbeya.
Sugu ndio mbunge wetu.
2020 uchaguzi ulibakwa.
 
Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Mbeya Mjini , Joseph Mbilinyi (Sugu) , leo ameendelea na ukarimu wake , ambako amefika Maskani ambayo wanajipumzisha wazee wa Isanga , baada ya shughuli za kutwa nzima (KILABUNI) , kwa lengo la kuwajulia hali zao na kuwasalimia .

Ama kwa hakika huyu jamaa anapendwa na Wazee wa Mbeya , USIPIME ! Shangwe zilizoibuka baada ya Sugu kuingia kwenye Klabu hiyo si za nchi hii , hivi ana kizizi au ni upendo tu wa kawaida ?
Wazee hawakumfurahia yeye walifurahia siku itaenda vizuri kwa bia za bure bure..... 😁😁😁😁
 
Huyo mfanyabiashara bilionea wa mbeya angewasaidia hao wazee kuwajengea makazi ya kudumu.
 
Back
Top Bottom