Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hakika na sahihi !WanaNchi wakiongozwa na watu wanaowapenda na kuwachagua hata Mungu hushusha baraka na maendeleo huonekana
Hiyo inafahamika yaaniEdit umesahau kuandika billionaire
kampeni za nini leo ?Kampeni &
Kampeni
Walikuwa wanafurahia kinywaji alichowaachia.Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Mbeya Mjini , Joseph Mbilinyi (Sugu) , leo ameendelea na ukarimu wake , ambako amefika Maskani ambayo wanajipumzisha wazee wa Isanga , baada ya shughuli za kutwa nzima (KILABUNI) , kwa lengo la kuwajulia hali zao na kuwasalimia .
Ama kwa hakika huyu jamaa anapendwa na Wazee wa Mbeya , USIPIME ! Shangwe zilizoibuka baada ya Sugu kuingia kwenye Klabu hiyo si za nchi hii , hivi ana kizizi au ni upendo tu wa kawaida ?
Hakununua chochote paleWalikuwa wanafurahia kinywaji alichowaachia.
Na mimi nimetembelea wanywa Kahawa kujulia hali zao. Ntagombea udiwani 2025.Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Mbeya Mjini , Joseph Mbilinyi (Sugu) , leo ameendelea na ukarimu wake , ambako amefika Maskani ambayo wanajipumzisha wazee wa Isanga , baada ya shughuli za kutwa nzima (KILABUNI) , kwa lengo la kuwajulia hali zao na kuwasalimia .
Ama kwa hakika huyu jamaa anapendwa na Wazee wa Mbeya , USIPIME ! Shangwe zilizoibuka baada ya Sugu kuingia kwenye Klabu hiyo si za nchi hii , hivi ana kizizi au ni upendo tu wa kawaida ?
Hiyo hufanyika "off record ".Hakununua chochote pale
Haka kakitengo ka kulamba viatu vya viongozi wa Chadema kanakufaa unakatendea hali. Sugu hawezi Rudi kuwa Mbunge wa Mbeya. Mark my words. Wanambeya walishagundua kosa lao... Atabaki kuwa na washkaji na wacha atembelee wazee,vijana na watoto lakini Ubunge.aachane nao. Ajikite kwenye Hotel yake tu.Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Mbeya Mjini , Joseph Mbilinyi (Sugu) , leo ameendelea na ukarimu wake , ambako amefika Maskani ambayo wanajipumzisha wazee wa Isanga , baada ya shughuli za kutwa nzima (KILABUNI) , kwa lengo la kuwajulia hali zao na kuwasalimia .
Ama kwa hakika huyu jamaa anapendwa na Wazee wa Mbeya , USIPIME ! Shangwe zilizoibuka baada ya Sugu kuingia kwenye Klabu hiyo si za nchi hii , hivi ana kizizi au ni upendo tu wa kawaida ?
Hujui kitu kijana , Shut up !Haka kakitengo ka kulamba viatu vya viongozi wa Chadema kanakufaa unakatendea hali. Sugu hawezi Rudi kuwa Mbunge wa Mbeya. Mark my words. Wanambeya walishagundua kosa lao... Atabaki kuwa na washkaji na wacha atembelee wazee,vijana na watoto lakini Ubunge.aachane nao. Ajikite kwenye Hotel yake tu.
Dada yangu nakuambia tu ukweli huu uchawa utakuja kukushinda. Sugu hatokuja kuwa mbunge wa Mbeya tena. Tuombe uzima. 2025 akiwa Mbunge nipigwe life ban humu JF. WANAMBEYA SI WAJINGA. hao watu kwa sasa wanaweza kula sana pesa yake kama wewe unavyolipwa vijicent uje uandike hiki unachoandika sababu ndo kula yako ipo hapo. SUGU HAWEZI KUWA MBUNGE MBEYA TENA.Hujui kitu kijana , Shut up !
Hakuna Tajiri ambaye ni ChawaDada yangu nakuambia tu ukweli huu uchawa utakuja kukushinda. Sugu hatokuja kuwa mbunge wa Mbeya tena. Tuombe uzima. 2025 akiwa Mbunge nipigwe life ban humu JF. WANAMBEYA SI WAJINGA. hao watu kwa sasa wanaweza kula sana pesa yake kama wewe unavyolipwa vijicent uje uandike hiki unachoandika sababu ndo kula yako ipo hapo. SUGU HAWEZI KUWA MBUNGE MBEYA TENA.
Mbona hatujaona hizo baraka na maendeleo kwenye majimbo yaliyowachagua wapinzani miaka yote hiyo,waliingia na kutoka hali ilikuwa ileileWanaNchi wakiongozwa na watu wanaowapenda na kuwachagua hata Mungu hushusha baraka na maendeleo huonekana
Hakuna Tajiri anayeshinda JF kusifia wanaume kila siku. Hakuna. 😂Hakuna Tajiri ambaye ni Chawa
unadhani utajiri ni kubeba mawe ?Hakuna Tajiri anayeshinda JF kusifia wanaume kila siku. Hakuna. [emoji23]