Sugu akutana na Askofu Mwaikali. Ashiriki harambee ya Ujenzi wa Kanisa

Sugu akutana na Askofu Mwaikali. Ashiriki harambee ya Ujenzi wa Kanisa

bora ametoa sadaka kanisanikuliko zingeishia kwenye betting.
Jamaa yuko addicted sana na kubeti uskute ata hizo alizotoa alitusua mkeka
Kila nikitaka kuacha kubeti niksoma vifungu sioni ilpokatazwa kumla mhindi
 
Kama alishindwa kuichangia CHADEMA hela za kununulia kiwanja cha kujenga ofisi ya chama unafikiri Sugu ataanzia wapi kutoa hicho unachoita kitita cha pesa kwa mwaikali kununua kiwanja? Ndio maana hata wewe umeshindwa kuweka hapa hicho kiasi unachodai ni kitita. Au kama unajiamini weka hapa basi japo najuwa huwezi maana unajuwa itakuwa aibu na ndio maana umekuja kupiga blaa blaa tu.
anachanga huku roho inamuuma dah😀
 

Hii aina ya uandishi inadhihirisha hata CHADEMA ikishika dola viongozi watakuwa na machawa wao kama ilivyo kwa CCM.
 
chadema siasa za kushikishana majogoo hizo ni mambo ya kizamani acheni izoo bana! jikiteni kwenye mambo ya kiuwekezaji ndio habari ya kiulimwengu ulizeni mtu yoyote
 
Back
Top Bottom