Sugu alimtelekeza marehemu John Walker

Nimesikiliza ile ant virus volume one and two
Sijawahi sikia ushiriki wa John
Kwa hiyo hiyo hoja yako hapa haina ukweli
 
R.I.P John

Sugu aliwahi kusema yeye ni mmbunge wa mbeya tu mizigo mingine mnambebesha bure
 
Umbea mwingine sio "Tangia anaumwa hadi anakata roho hajawahi hata kupewa pole wala kutumiwa salamu"

Hapo tu,inaonesha kuwa ww ni gwiji wa uongo,ameugua lini na nn?
 
Mmh, jamaa kaumia jana na tangu hyo jana yupo mahututi unaambiwa sugu kamtelekeza "tangu" aanze kuuumwa hadi anakata roho hajamtumia 'salam' za pole. Mbongo mtu hatari sana aisee.
Kaka we acha tu! Mbongo ni kiumbe wa aina yake!! amejaa kulalamika kuanzia asubuhi hadi jioni na kulaumu wenzie!! ndo kama huyo mleta uzi!!
 
Sugu ana posho na mshahara zaidi ya million 10 per month kutumia mshikaji wako awe attended earlier ilikuwa ni jambo la kiutu na kiungwana ata kama alimtupa angemkumbuka japo for once.
Kumbuka ana kundi kubwa la wapiga kura ambalo linasubiri kutatuliwa changamoto mbalimbali jimboni na ikibidi azame hukohuko kwenye hizo milioni kumi mi nadhani wabongo tupunguze kidogo kulalamika tufanye kazi!
 
Hii ni kweli mkuu mtu katika mihangaiko yake ya kila siku amepata ajali ya kawaida kabisa lawama kwa mtu mwingine!Aaaagh!Hii haifai kabisa.Inabidi tubadilike kwa kweli.
 
mr gentlemavirus?st: 15342290 said:
You know nothing about Antivirus movement. Just shut the f up.

Unaizungumzia Ant virus?
Eti sijui chochote!!!
Haya kila la kheri
 
UTAMKOSOA HADI MUNGU MTOA UZI HUKO UNAPOELEKEA.
 
Huyu mtu si aliugua kuanzia jana?
Mimi huwa simkubali Sugu na wala sitokuja kumkubali kwa lolote lakini kwenye hili tukiacha swala lake na hao Vinega hili la kupewa lawama kwa kifo cha John kwakweli hastahili kabisa!

Sugu awezi kuwa chanzo cha kifo kisa tuu huko nyuma hakukuwa na maelewano kati yao!

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!
 
we ni mnafiki sana, tangu anaumwa ni lini? report inasema kuna damu iliingia kwenye ubongo kutokana na ile ajali sasa ulitaka Sugu afanye nini? amtibu yeye au azuie asife?
 
John Walker pumzika kwa amani mpwa kama kawaida yetu kuna mvivu mwingine wa kufikiri kaibuka uku,ivi lini John Walker alikua dereva wa Sugu na tukumbushe kwenye Anti-Virus marehemu alishiriki vipi duh Mungu tusaidie bila wewe idadi ya wanaume wanaochukua tabia za dada zao itavuka mipaka huu umbea jamani khaaaa.
 
Unaizungumzia Ant virus?
Eti sijui chochote!!!
Haya kila la kheri
Nina uhakika hajui hata joint moja kwenye mixtapes za Ant Virus maana ambae kasikiliza hawezi kusema eti John Walker kashiriki alafu namkumbusha Mbeya wasanii waliokua na Sugu mwanzo mwisho ni Mkoloni,Danny Msimamo,G Solo,Isanga Family sikumbuki kumuona John Walker.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…